Jiunge na orodha yetu ya Matangazo kwa matangazo muhimu na ushauri wa usalama.
Vipakuliwa vya App Store
Psiphon Pro kwa Android kwenye Google Play Store
Unga mkono uhuru wa Intaneti kwa kupakua Psiphon Pro kutoka kwenye Duka la Google Play. (Haipatikani katika nchi zote.)
Psiphon kwa iOS kwenye Apple App Store
Programu zote kwenye iPhone au iPad yako zitafikia Mtandao kupitia mtandao wa Psiphon. Inapatikana kwa iOS 10.2 na matoleo mapya zaidi.
Psiphon kwa Mac zenye Apple silicon kwenye Apple App Store
Programu zote kwenye Mac yako zitafikia Mtandao kupitia mtandao wa Psiphon. Inapatikana kwa kompyuta zote za Mac na silicon ya Apple. Angalia iwapo Mac yako ina silicon ya Apple
Kivinjari cha Psiphon kwa iOS kwenye Apple App Store
Fikia tovuti na huduma zako uzipendazo kupitia mtandao wa Psiphon ukitumia kivinjari chetu cha wavuti ambacho ni rahisi kutumia. Inapatikana kwa iOS 8 na matoleo mapya zaidi.